Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wachawi leo inaonekana ni wengi ndo maana najitaidi kuwakwepa kwa kuwaua kishingo upande
 
Msaada jmn jinsi ya kudeposit pesa m-bet kwenye sehem ya kumbukumbu namba nijaze nn?
 
Kuna watu kama mm moja bet inanikataa kila nikijaribu nakutana na za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…