Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yah ni kwel sema sasa mkuu betting haina adabu siku ikibuma ndio utajitukana matusi yote na kusema nimeliwa elfu 70 kwa elfu 7 dah yaan me boya kwel odds ndogo sio ndio zinapass daily kuna siku zinakataa kabisa alafu ndio unakuta umeshaweka mzigo kama kawaida ila pia ni nzur maana unaokota kidogokidogo yenye uhakika kwa asilimia kubwa mwisho wa siku unapata faida nzuri.
Ahaaa ahaaa Mkuu betting nzuri ni hiyo 70,000 unakula 10,000 na sio 10,000 ule 200,000 hizo waachie akina Tatu mzuka..
 
Mkuu watu wanaliwa 70,000 kidogo kidogo...Maumivu hawayaoni kwa haraka kama ukiliwa 70,000 kwa wakati mmoja...Ogopa sana kupoteza hela kidogo kidogo Mkuu mwishoni inakua kubwa.

Yeah unaweza ukaliwa hata kwa odds ndogo Sababu betting haitabiriki Ila Unaangalia unaliwa Mara ngapi...
 
Pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…