Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inaitwa.....be a pro stop being an amateur
hii mbinu inabidi kuiwekea milioni kabisa ili uwe unavuna laki laki slip 10 tu zwnye uhakika kama hivyo una milion nyingine. teh teh
 
Hii siku ya tano naitumia mbinu hii... Siku tano laki tano na ushee.
hii mbinu inabidi kuiwekea milioni kabisa ili uwe unavuna laki laki slip 10 tu zwnye uhakika kama hivyo una milion nyingine. teh teh
 
hebu twende sawa unasubir kwa mfano man cit anaongoza 2-0 labda tuseme dk ya 80+ ndipo unatupia au?
Hapana mkuu.. Kwa mfano Liverpool anaongoza kwa goli moja, mimi naweka over 1.5 yenye odds 1.125 kwa million moja. Najua kwa mechi kama hii haliwezi kosekana goli jingine kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…