AiseeeeeeeeNaombeni mnitukane[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 929267
Mkuu atleast ata ungekuwa unajitosa kuanzia elfu10 Leo ungebaki kicheko tu odds 28 c mchezoNilikuwa sinaa elaa nilibakiwa na 900
Wewe ni falaaaaa,hahahah,.mkuu,nadhan umesha qualify sasa,haya acha hzo stake zako za ajab ajab.weka mizigo kuanzia buk5Naombeni mnitukane[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 929267
Nikiwaambia wanaleta kelele watoto wa mama awa makunguruWewe ni falaaaaa,hahahah,.mkuu,nadhan umesha qualify sasa,haya acha hzo stake zako za ajab ajab.weka mizigo kuanzia buk5
Si wasom ao vitesse mkuu watatoa GG kweli me mwenyewe niliwapa wamebak waoOne to go, two already gone!View attachment 929235
Wewe utakuja kuwa bonge la mtaalamu WA kubeti,WAKUU WALIOFUATA WON,ME NIMEAMUA KUUZA,FAIDA YA LAKI IMENITOSHA KABISA WAUNGWANA!!.View attachment 929266
M lipa mkuu voda awapo apoWakuu hivi hapa kati ya voda & mlipa nani anahusika?
Niliwithdraw pesa juzi but mpaka sasa sijapata kitu!
1xbet wanasema wao washacomfirm kwahiyo hawahusiki
Ulitoa kiasi gani ?Wakuu hivi hapa kati ya voda & mlipa nani anahusika?
Niliwithdraw pesa juzi but mpaka sasa sijapata kitu!
1xbet wanasema wao washacomfirm kwahiyo hawahusiki
UmeivaaAseee wakui WAMICKY, VOID NA Wwengine asanteni angalau sasa na mimi napumua kwenye basketball naelekea kuzuru kabisa japo loss bado zipo ila angalau wazee sasa nimeanza kuuona mwangaView attachment 928535View attachment 928536View attachment 928537View attachment 928538View attachment 928539View attachment 928540View attachment 928541View attachment 928542View attachment 928543View attachment 928544View attachment 928545
HahahaMtaanza kugombana hapa!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Aiseeeeeeee
We amzooo kabisa,
Unabania kuweka stake kubwa,
Yan utakufa maskini kabisa.
Odds 28 won kwa stake ya 300.?
Hauko siriaz na kutafuta hela,kumbe unatusumbua tu humu jukwaani
Ahsante sana Mkuu kwa kunitia Moyo,kesho nitaleta mwingine,Wewe utakuja kuwa bonge la mtaalamu WA kubeti,
Na kesho tuletee
Mkuu naona unafaidi bigup
Duh sisi wengine tunakosea wapi[emoji26][emoji26][emoji26]Ahsante sana Mkuu kwa kunitia Moyo,kesho nitaleta mwingine,
Mtaji wa 1200 huo unazidi kuchanja mbuga umefikia laki 3.2,kuanzia Jana jioni tu.
Mungu azidi kutusaidia tupunguze machungu!!.
Huu unaelekeaBado najifunzaView attachment 929318
Mkuu usijali kesho nitakaoandaa nitaweka humu kama ninavyofanya,Mungu akisaidia tutakula sote,kuwa na imani.Duh sisi wengine tunakosea wapi[emoji26][emoji26][emoji26]
Tupeni maujanja wakuu