Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Unatuuzia gazeti mkuuAhsante sana Mkuu kwa kunitia Moyo,kesho nitaleta mwingine,
Mtaji wa 1200 huo unazidi kuchanja mbuga umefikia laki 3.2,kuanzia Jana jioni tu.
Mungu azidi kutusaidia tupunguze machungu!!.
Yaan ww ugomvi ni asili yako daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatuuzia gazeti mkuu
Hahahaa et kuanzia jana ad Leo kwa buku na mia2 kafika laki3 saiz hahahhaahhaa uyu jamaa muongo sana minamjuaYaan ww ugomvi ni asili yako daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks alot kesho naweka mtaji wakutosha[emoji857][emoji857]Mkuu usijali kesho nitakaoandaa nitaweka humu kama ninavyofanya,Mungu akisaidia tutakula sote,kuwa na imani.
Hahahaha sawa Mkuu una haki ya kubisha ila ushahidi wote nimeweka humu tangu Jana na muda si mrefu nimetoka kuweka mwingine nilio share humu asbh umetiki pia,lkn pia lengo langu si kukufanya uniamini ndg yng,wanaoamini inatosha!!.Hahahaa et kuanzia jana ad Leo kwa buku na mia2 kafika laki3 saiz hahahhaahhaa uyu jamaa muongo sana minamjua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah ilaaa we jamaaa kwelii unaendana na jina lako sungusunguHahahaa et kuanzia jana ad Leo kwa buku na mia2 kafika laki3 saiz hahahhaahhaa uyu jamaa muongo sana minamjua
Mkuu ubarikiwe sanaOne to go, two already gone!View attachment 929235
One to go, two already gone!View attachment 929235
Inaonekana jamaa ni mbishi by nature[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah ilaaa we jamaaa kwelii unaendana na jina lako sungusungu
Tutaenda sawa Mkuu,jamaa nimemuachia 30 elf,na mteja Wang wa mwisho(PSV) nafanya yake.Thanks alot kesho naweka mtaji wakutosha[emoji857][emoji857]
Hahahahaa mkuu yani umu watu wanatuletea vituko kila kukicha tena vya kila aina sasa saiz namuona uyu jamaa nae kaleta kituko kipya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah ilaaa we jamaaa kwelii unaendana na jina lako sungusungu
Hahaha nimecheka tu jamaa anasema ananijua ety me muongo,ukiona hivyo jua hapo ana hamu ya kuanza league na MTU!!.Inaonekana jamaa ni mbishi by nature
We uko sawa kaka,achana na hawa ma actress, wanazinguaTutaenda sawa Mkuu,jamaa nimemuachia 30 elf,na mteja Wang wa mwisho(PSV) nafanya yake.View attachment 929330
Sawa ndg yng kesho andaa tu stake nzuri TUTASHINDA AMINI KABISA,kikubwa tamaa tuweke pembeni!!.Odds chache stake kubwa!!.We uko sawa kaka,achana na hawa ma actress, wanazingua
Waambie ww mkuu mm wanaanza kunitukanaAiseeeeeeee
We amzooo kabisa,
Unabania kuweka stake kubwa,
Yan utakufa maskini kabisa.
Odds 28 won kwa stake ya 300.?
Hauko siriaz na kutafuta hela,kumbe unatusumbua tu humu jukwaani