yeah hivo tu yaniKumbeeee.........
Ulijisajiri kwa kutumia njia ganiWakuu, bado nimekwama, nisaidieni plzView attachment 930583
Kwa kutumia namba ya simuUlijisajiri kwa kutumia njia gani
Mkuu iyo picha inatakiwa ionekane vizuri(kama simu yako haitoi picha clear omba hata ya mtu) maandishi ya icho kitambulisho yaonekane vizuri pia yasomekeWakuu, bado nimekwama, nisaidieni plzView attachment 930583
View attachment 930668Aliyefuata amshukuru mrusi
Ipo sema kila chance ni buku 2 mfano 1. A vs B , Ukaselect XA iyo ni buku 4, jumlisha na nyinginembona sionagi sehem ya kucheza double chance kwenye jackpot ya sportpesa?
ndo mana kafosi penat kumbeKama mechi ya derby jana refa alibet GG akaweka mzgoo
mkuu kwann usiwe unapunguza mechi unaonyesha over 2.5 uko vizur
Nisaidieni guys, nki withdraw i will pay u back
wanashida kwa upande wao itakuwa pesa haiwezi kuingia wala kutoka...Msaada ambaye anayejua namba ya Mlipa
Nimetuma pesa haijafika
Msaada ambaye anayejua namba ya Mlipa
Nimetuma pesa haijafika