Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau mi saiv hadi volleybal nacheza.
Huu mchezo naucheza sana nikipata muda kwahiyo naujua kiasi chake.
Japo huku sio mchezo wa kuuendea kwa pupa kama huujui vzr, nimejaribu hapo mambo yakawa ivo
 
Mkuu jifunzee tena handcap kuna + na - wew umempa wa pil + 26.5 ungekuwa ulimpa wa kwanza -26.5 ungekuwa umewin
Sasa mkuu ukimtanguliza mgeni mwnyeji si unaondoa hivyo vikapu ulivyo mpa mgeni au? Na kama unamuondolea mwenyeji putin hapo kaniibia
 
Sasa mkuu ukimtanguliza mgeni mwnyeji si unaondoa hivyo vikapu ulivyo mpa mgeni au? Na kama unamuondolea mwenyeji putin hapo kaniibia
Hapana wewe ndo unajiibia mkuu, hapo mwenyeji anabaki na vikapu vyake ila wewe unakua umemuongezea huyo mgeni vikapu hivyo 27 na ulisema ashinde baada ya kumpa hivyo 27 lkn bado kazidiwa tu
 
Africa Cup of Nation -

Equatorial Guinea vs Senegal - 15:00 GMT

Pick: Senegal to win

Scotland League One -

Stenhousemuir vs Raith - 16:00 GMT

Pick: Both Teams To Score (Yes)
2pt double @ 2.62
 
Africa Cup of Nation -

Equatorial Guinea vs Senegal - 15:00 GMT

Pick: Senegal to win

Scotland League One -

Stenhousemuir vs Raith - 16:00 GMT

Pick: Both Teams To Score (Yes)
2pt double @ 2.62
Vaa Bomu Tujilipue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…