Yaani daaah huu mchezo umenifanya kuwa na ka ujasiri fulani hivi maana NI hatari
Vp kvpYaani daaah huu mchezo umenifanya kuwa na ka ujasiri fulani hivi maana NI hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
GG sawa ila sio kumpa liver moja kwa moja
Man city 2-1 anashindaMan City 1 Liverpool Fc 3 ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Dakika 90 ubao utasomeka hivyo😎
City anashinda LeoMan City 1 Liverpool Fc 3 ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Dakika 90 ubao utasomeka hivyo😎
mzee mwenzangu ulikosa red card pole sana...tentente