Sema weekend huwa nd pan pesa nje nje... Kwa mtindo huu ukianz nazo mornie ukij chek usik akaunt inakuw imejaa aiseee... Stay blessed mkuuu...
Hiyo bank kujisajiri/kufungua bei gani mkuungoja na mimi kesho nikafuate prepaid card ya hao banc abc mapema maana nilikuwa nayo ya equity bank kila siku ilikuwa inansumbua nkaja kugundua haikubal kudeposit kwny gambling
Wanashare watsup wakishinda wanaleta huku sijui za nini sasasawa sawa mkuu...ila ni vzr upost humu kabla na si green green tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia rahisi ni visa/master cardKuna yeyote ambay amejaribu kubet na 1xbet kuanzia January hii 2019 na ametumia njia ipi kudiposit money
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia visa card ya barclays n very cmple kam unanawa tuu...Kuna yeyote ambay amejaribu kubet na 1xbet kuanzia January hii 2019 na ametumia njia ipi kudiposit money
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu unitag tafadhali.
bitcoinsKuna yeyote ambay amejaribu kubet na 1xbet kuanzia January hii 2019 na ametumia njia ipi kudiposit money
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikamia 500 tuu_watu wakapata kiinua mgongo ,View attachment 988792
Sent using Jamii Forums mobile app