Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
wanaoweka green baada na hawataki kushare kabla nawaita wanoko....hata Mimi nikifanya hivyo
OkWALE MNAONITUMIA MESSAGES INBOX, MNIWIE RADHI KWA KUCHELEWA KUJIBIWA MESSAGES NI NYINGI SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kujibu sasa.WALE MNAONITUMIA MESSAGES INBOX, MNIWIE RADHI KWA KUCHELEWA KUJIBIWA MESSAGES NI NYINGI SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata zinazotumwa watu hawafuati, mtu unapoteza nguvu bure. Ndio maana muda mwingine mwendo wa green tu humu.Aisee.Daah Sjui huwa wanashindwa nn kutuma tu sema ata uwaitee kuna watu wapo hvyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ivi unaweza nielekeza njia rahisi kudepost hela nataka nihamie hapo msaada
ukishinda wanakata buku lao inayobak yakoSija elewa kwamba nki betia iyo buku ya bure .nka shinda siruhusiwi kuitoa iyo hela adi niibetie yote
Sent using Jamii Forums mobile app