Hapo utampata hata miwiliweek hii mimi natengeneza kumi
teh teh teh teh, nitakupa mil50Hapo utampata hata miwili
Hahaha unasema sababu hujaipatateh teh teh teh, nitakupa mil50
sure wee weka tu baraka zako ikitiki mil 50 zako, bado kwenda likizo ya week mbili kwenye kisiwa tulivu.Hahaha unasema sababu hujaipata
Ukiipata utapotea humu
Em nianze maombi sasasure wee weka tu baraka zako ikitiki mil 50 zako, bado kwenda likizo ya week mbili kwenye kisiwa tulivu.
Suuuuuuuure mzeee.....Aiseee league ya USA Inaanza lini...? Ile league ya major Soccer....? Ile league inapesa balaaa... nikipiga hesabu kuanzia imeanza mpk ikaisha nilitengeneza kama 17 millions hiv.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee league ya USA Inaanza lini...? Ile league ya major Soccer....? Ile league inapesa balaaa... nikipiga hesabu kuanzia imeanza mpk ikaisha nilitengeneza kama 17 millions hiv.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa watumia strategy gani! Over goals , DC, or Direct win?Aiseee league ya USA Inaanza lini...? Ile league ya major Soccer....? Ile league inapesa balaaa... nikipiga hesabu kuanzia imeanza mpk ikaisha nilitengeneza kama 17 millions hiv.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma goal mkuu Jamaa wanafungana sana... 3-3 4-3 4-4 5-4 5-5 kawaida sanaUlikuwa watumia strategy gani! Over goals , DC, or Direct win?
Void nan atakiiii.... Anyooshe mkono ajifanye kama anajikunaTukutane sheli baadaye 90%. Pia ukivizia moja moja inplay odd zinakuwa tamu zaidi.View attachment 990052
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kwa hiyo mwendo Wa over 2 kama unanawa.Ma goal mkuu Jamaa wanafungana sana... 3-3 4-3 4-4 5-4 5-5 kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app