Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tupe maujanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umejionesha mapema.. kumbe ni wale wale tu! Wenzako walikuja kama wewe, walipotea kama upepo.
 
hhahhhaah wewe king green kujiunga ni bure au hela
 
Wakuu nimecreate account kwenye bitcoin, na nikarequest kununua,sasa baada ya hapo nafanyeje? Màana nimeongea na muuzaji kanambia ananitumia namba ya voda ili nimtumie humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…