Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Yap chini ya la teni hawatoi ...ila wapo fasta kimbwa ..ukitoa tu hata dakika mbili hazifiki mzigo huo
Mkuu uweke mapema mkuuKama kawaidooooo
Bado syden fc na Perth Glory pesa hyo
Niliweka X2&3+ kabla mechi kuanza imetoaNlishare
Sema game ilkua ishaanza lakin hata ungetupia odds zlikuwa 2+ kwa kila option nlioisema
Sijawaelewa kiwango Cha kuwin kwa mkeka mmoja
Mhh...ngoja nami nikajaribuSijawaelewa kiwango Cha kuwin kwa mkeka mmoja
Niliweka odd karibu 60 ila kila stake nayoweka inaleta 600,000/= win
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan km kikapu live hawakaukiwi mechi labda ziwe hamna kabisa shida kodi tuu ila naona kibongo wako vizuri sananimeikuta option mbili za kikapu nilikuwa naicheza sana 1xbet ...nikawatamani
Ujinga huo..... Wangefanya kama betpawa ama premierbetyaan km kikapu live hawakaukiwi mechi labda ziwe hamna kabisa shida kodi tuu ila naona kibongo wako vizuri sana