Mkuu hongera..wewe upo kama mimi..njia hii ya under mimi ndy strategy yangu hiyo na ndy inayonipa hela mjini hapa..hua natafuta zile mechi ngumu tuu mana karibu ligi zote nazielewa saiv..Over ni timu chache mno natumia
hapo unakuwa umeweka mikeka 4 kama kuna mtu anauelewa mzuri atatueleweshaFor any given match a Player may make one or more selections of alternative results. Adding more
than one selection, will although increase the cost of the entry. For example - if two selections are picked
in two matches and one result in all other matches then this multi selection ticket will cost TZS 400 (in case of a
TZS 100 stake)
mechi ziko 17 price 100
nimeweka mechi 15,2 zilizobaki nikaweka double chance then price 400
nafikiri iko hivyoiko hivyo bro
Naomba msaada wa tips, hasa orodha ya ligi ngumuhapo unakuwa umeweka mikeka 4 kama kuna mtu anauelewa mzuri atatuelewesha
Newcastle to Win @ 2.05 tip won
Arsenal Draw No Bet @ 2.24 tip won
wapo wengi ila nachukuaga kwa steviedayPremier League Predictions
anatoa tips nyingi huwa nachagua baada ya kuridhika na analysis
Pole kwa kudondokewa na kitu chenye ncha kaliSimba ..GG
Mazembe ..GG
Asec ..win
Zamalek ..win
14+ Odds weka baba mkwe
Premier League Predictions
anatoa tips nyingi huwa nachagua baada ya kuridhika na analysis
Ni kila siku au mapaka weekendwapo wengi ila nachukuaga kwa stevieday
siku moja kabla ya mechi ya ligi ambayo mara nyingi ni ijumaa
OK..siku moja kabla ya mechi ya ligi ambayo mara nyingi ni ijumaa
Copied and pastedNimejaribu kuweka vizuri ili options zote zionekanee...ukichagua fresh unaeza kulaView attachment 999931
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo wafuate wa nyumbani wote kwenye confederation kama una roho ngumu kama Mimi ingawa Nkana anatisha kidogo