Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Chelsea amesababisha kijani, bado MadridHahaaa Mkuu hilo ni Bomu, ukijivika unasubiria mshindo Wa mlipuko. Hahaaa
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1003859
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulimtafakari vipi yule kiongozi wa dini aliyetaka michezo ya kamari ipigwe marufuku?Madrid tema Pesa hiyoView attachment 1003938
Mliozitenganisha mmoja umetema Pesa odd 4+ aiseee.Ndoano unaweza pia ukaziweka moja moja. 80% wakujivika mabomu kazi kwenu View attachment 1003836
Naona atakuwa ameliwa sana.Mkuu ulimtafakari vipi yule kiongozi wa dini aliyetaka michezo ya kamari ipigwe marufuku?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Itakuwa, maana kupitia wewe naweza kuwa shahidi kwamba hii michezo ni chanzo cha mapato ya mtu.Naona atakuwa ameliwa sana.
Wewe jamaa huwa unanifanya nije kwenye hili jukwaa kukuona.Aiseee eeeee...!!!
Vipi Mkuu bado uko salama, Madrid kashatema. Aiseee....Duh kwa style hii sishangai wanaomiliki makampuni ya kubet wakiwa matajiri. Hiyo game ya madrid kati ya mimi na wewe lazima mmoja mkeka wake uchanike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima tugawane hasara View attachment 1003842
.
Pamoja Mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Itakuwa, maana kupitia wewe naweza kuwa shahidi kwamba hii michezo ni chanzo cha mapato ya mtu.
Kesho niko na wewe.
Pamoja Mkuu, Ni kumfumua kanji kwakwenda mbele.Wewe jamaa huwa unanifanya nije kwenye hili jukwaa kukuona.
Kesho ukiamka naamka na wewe. (tukose wote, tule wote)
50 mheshimiwa!