Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mchongo huu,
Jisajili na PrincessBet kisha ujipatie Welcome Bonus Buree ya Tsh 2000/= Kubetia.

Pia kama wewe Teyari una akaunti waweza mtonya mdau yoyote nae akajisajili.

Kisha nitumie Username kwenye namba hiyo apo chini nakupata Bonus yako papo hapo

Website: www.princessbet.co.tz

Contact Call &Whatsapp 0687126587
Princess Bet
#thehomeofgamingentertainment

ASANTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wazee wenzangu wa kubet na ss tuombeeni mwaliko ikulu tusimame na mh. Rais naye akasikilize dukuduku letu, kwakuwa mh. Ameamua kukutana na makundi ya kijamii ikulu basi na sisi kama moja wapo ya makundi hayo tuombe mwaliko.

Kuna watu wanataka watuharibie,eti betting zifutwe kwakuwa hatufanyi kazi, huu ni upuuzi wa hali ya juu ambao unatolewa na watu waliovimbiwa na waliofikia kiwango cha mwisho cha kufikiri.

Hv ni sekta gani ya serikali au ya binafsi iliwahi kutangaza ajira watu wakaacha kwenda? mf.mzuri nyie ni mashahidi, TRA waliwahi kutoa nafasi watu wakatakiwa kwenda kufanya interview tuliona jinsi uwanja ulivyofurika, ulipita umati wa watu waliohudhuria kuaga mwili wa hayati baba wa Taifa mwl.jk nyerere.

Leo eti wanaojiita viongozi wa dini wanashauri betting zifutwe kwa hoja kwamba watu hawafanyi kazi, huu ni upuuzi na nakuomba Rais uwapuuze hao wanaajenda yao ya siri ya kisiasa, wanataka watu wageukie kwenye siasa, ndio kwakuwa hawana ajira hawabett mawazo yao yatageukia siasa na wataanza kukinukisha najua utasema uanajeshi lkn jeshi halijawahi kutosha kwa Raia ambao wamechoka na hawana cha kupoteza.

Leo kijana ameshaweka jamvi lake anasubiri muda ufike aanze kutiki, atakuwa na muda gani wa kumsikiliza lisu ameongea nn huko bbc hardtalk, cnn au aljazeera? au aanze kufuatilia harakati za kisiasa? muda huo anatoa wap?

Sasa hao viongozi wa dini ambao wengi wao wana taasisi mbalimbali kama mashule, mahospital, mabenki, wamesaidia nn Rais kutoa ajira kwenye taasisi zao? kwanza wamejaa ukabila, kujuana na uzandiki wa kila aina hupewi kazi mpaka uwe kabila fulani, dhehebu fulani mkoa au kijiji fulani, leo hii wanasema betting zifutwe kwa sababu vijana hawafanyi kazi, kazi ziko wapi!

Kuna wajinga watasema si ulimi tu, unalima nn? unaenda kuuza wa? wengi tunajua kilichotokea kwenye korosho, mahindi, mbaazi, nk,acheni ujinga,....... Yapo mengi ya kumueleza Rais lkn muda hautoshi tuombeni kukutana na mh. tukamueleze ya moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…