Najikongoja nipo pamoja na weweNgapi hukooo??!View attachment 1004579
Yaani magoli ya mwishoni ndio matamu odd 5+ ukipiga mshindo ni balaaaVoid ab initio wewe ni noma..nilikua nafuatilia hii game ya hawa madogo wa Italy..naona goli limepatikana dakika ya 45..
Aisee unaweza jilaumu ulichelewa wapi...yaani ni stake yako tu na kujitoa ufahamu..maana inataka moyo! AiseeYaani magoli ya mwishoni ndio matamu odd 5+ ukipiga mshindo ni balaaa
Mkuu ile mechi ipotezee tu tafuta nyingine ina ugumu mno au kama unaweza uisubili uluke nayo live ...mechi inaweza isifungane ata kidgo
Pia na historia ya mechi inachangia, unakuta magoli yanapatikana dk za mwishoni. Halafu unaikuta mechi IPO 0-0 dakika ya 30 unaachiaje sasa.Aisee unaweza jilaumu ulichelewa wapi...yaani ni stake yako tu na kujitoa ufahamu..maana inataka moyo! Aisee
Pamoja Mkuu plock
Nawe pia Mkuu mti mnene
Aiseee... Mkuu OS Cordis ngapi hukooo???Kama kawa Mkuu...
Niseme tu Hakika uko na ngekewa aisee....
Mkuu Leo bashiri zinaendajeKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Aiseee... Mkuu OS Cordis ngapi hukooo???
Poa mkuuMkuu ile mechi ipotezee tu tafuta nyingine ina ugumu mno au kama unaweza uisubili uluke nayo live ...mechi inaweza isifungane ata kidgo
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNAOWITHDRAW TUJUANE...!
Ukiona unabet na simu inaharibika halafu hujafikisha hata pesa ya kununulia simu nyingine, maana yake nini?dah simu yangu imekufa na kubeti kumekuwa kwa shida
Ukiona unabet na simu inaharibika halafu hujafikisha hata pesa ya kununulia simu nyingine, maana yake nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku sasa ndio kulimia meno...[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona unabet na simu inaharibika halafu hujafikisha hata pesa ya kununulia simu nyingine, maana yake nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo???