Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Kawaida mbona tunaonga hatuumii balancd y kuonga na bia, 5% ikiend betting sio mbayaPole mkuu under ina pressure yake unakuta timu historia yake h2h hawafikagi goli tatu sasa tia under utaona vituko first half inasoma 2:1 hahahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu.. Binafsi sijawahi kubet option hii kwasababu mara nyingi timu zinaingia uwanjani ili zishinde.. na ushindi unakuja kwa kufunga magoli, sasa kwanini ubeti UNDER?? Ndo maana unakuta timu zinafungana goli 20!! Hakuna ukomo wa magoli mpaka dakika za mchezo ziishe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Matokeo ndivyo kama mlivyo yaona.Over 0.5 1H.
Wale wa M.bet jackpot hiyo hapo mshindwe wenyewe tuView attachment 1008736View attachment 1008737View attachment 1008738
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa M.bet jackpot hiyo hapo mshindwe wenyewe tuView attachment 1008736View attachment 1008737View attachment 1008738
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete mambo hayo uko vizuri*WE DON'T COMPLAIN, WE GIVE THANKS*
My Betslip at betPawa.ng
20 picks ( all rated 85% to deliver ) *Trim down the picks till you have the suitable odds you seek*. Your bonus is still guaranteed [emoji819]
[emoji647] *Odds with bonus*
[emoji355] 4pm kick off
AEL Limassol - Thoi Lakatamia
1X2 - FT (1)1.06
PAOK - Giannina
1X2 - FT (1)1.13
AEK Athens - Levadiakos
1X2 - FT (1)1.18
Olympiakos - Larissa
1X2 - FT (1)1.10
AEK Larnaca - Nea Salamis
Double Chance - FT (1X)1.07
Vitoria Setubal - Sporting Lisbon
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Hamburger SV - SV Sandhausen 1916
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.08
Bournemouth - Chelsea
3-Way Handicap (Chelsea +1) - FT (2)1.16
Atalanta BC - Juventus
Win to Nil Home Team - FT (No)1.08
Liverpool - Leicester City
Total Score Over/Under - FT (5.5) (Under)1.08
Celtic - St Johnstone
1X2 - FT (1)1.18
Cowdenbeath - Rangers
1X2 - FT (2)1.03
Slaven Koprivnica - HNK Rijeka
Double Chance - FT (X2)1.11
Kauhajoen Karhu - Ura
Moneyline - FT incl OT (1)1.02
BC Kalev Tallin - Tartu Rock
Moneyline - FT incl OT (1)1.02
Bakken Bears - Joensuun Kataja
Moneyline - FT incl OT (1)1.08
ZVVZ USK Prague Women - UMMC Ekaterinburg Women
Moneyline - FT incl OT (2)1.04
Avtodor Saratov - ZZ Leiden
Moneyline - FT incl OT (1)1.08
SC Potsdam Women - NawaRo Straubing (W)
Moneyline - FT (1)1.05
Lukoil Neftokhimik - Olympiacos O.S. Piraeus
Moneyline - FT (2)1.14
Your stake...
*MULTIPLE Odds: 5.15*
#prince
Nilichungulia Mkuu, kwenye betting inabidi uwe na uwezo Wa kuchungulia mbele kabla hujafika. Na unajua kuwa ulichokiona kikitokea kimebadilika ni bahati mbaya. Na nakuhakikishia ukijipa uwezo Wa kuchungulia mbele kabla hujafika utapunguza rate ya LOSS Kwa kiwango kikubwa. Na hivyo utaongeza rate ya WON mwisho Wa siku unapata positive balance. Sasa shida inakuja MTU anataka kila akiplace bet ale tu asipate Loss it is IMPOSSIBLE. Kinachotakiwa ujue kuwa kula na kuliwa vyote vipo ila je unapunguzaje rate ya kuliwa ili uongeze rate ya kula.
Nimekuelewa mkuuNilichungulia Mkuu, kwenye betting inabidi uwe na uwezo Wa kuchungulia mbele kabla hujafika. Na unajua kuwa ulichokiona kikitokea kimebadilika ni bahati mbaya. Na nakuhakikishia ukijipa uwezo Wa kuchungulia mbele kabla hujafika utapunguza rate ya LOSS Kwa kiwango kikubwa. Na hivyo utaongeza rate ya WON mwisho Wa siku unapata positive balance. Sasa shida inakuja MTU anataka kila akiplace bet ale tu asipate Loss it is IMPOSSIBLE. Kinachotakiwa ujue kuwa kula na kuliwa vyote vipo ila je unapunguzaje rate ya kuliwa ili uongeze rate ya kula.
Kwamfano umeplace bet kumi zenye odd mbili mbili kwa stake sawa ukaliwa NNE ukala sita hapo utakuwa umeondoka na POSITIVE balance.
Pia unatakiwa Kujua wapi, wakati gani na saa ngapi niplace bet kutokana na strategy yako usiplace bet kila saa au kila muda au kila siku kama huoni possibility kutokana na strategy yako.
Kwamfano MTU ameshaona anakula Kwa over 0.5 First half strategy basi kila mechi yeye anaplace tu hata kama haoni possibility aisee mambo yatakuwa vice versa. Soma strategy, elewa strategy na ishi strategy yako.
Nashukuru Kwa kunielewa.Nimekuelewa mkuu
Sasa huyu ndio mtamu Wa kukimbizana naye kipindi cha pili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Matokeo ndivyo kama mlivyo yaona.
Dk ya 70 bila bila.Sasa huyu ndio mtamu Wa kukimbizana naye kipindi cha pili