theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Na kweli ameishia mbili.
Ukiona wanaichomoa ujue kuna fursa, unatakiwa kuwa na betting platform zaidi ya moja, wakiichomoa unaenda kwingine
Wameblock wanajua ushindi 99%
Nenda kwa Genoa over 0.5 first half.
Wewe huwa unabet live matches pekee sio??Mkuu ukiona lost zinazidi kiwango badili strategy.
Daah jamaa umeharibu mkeka wako mzuriiii...Hapo si ungeweka handicap umalize kiurahisi mkuu?Safari ya matumaini...twendeni wote
Bado kuna possibility yakupatikana lingineNatoka hapa kwenda ku place bet nakuta goal tayari aiseee...
Hela imenipita hii...
Kaka mie naona kuliko kuupload mkeka humu uwe unatupa tu kwa maandishi inakuwa chap kidogoUkiona wanaichomoa ujue kuna fursa, unatakiwa kuwa na betting platform zaidi ya moja, wakiichomoa unaenda kwingine
Poa poaKaka mie naona kuliko kuupload mkeka humu uwe unatupa tu kwa maandishi inakuwa chap kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ungewahi.. bet ingekataa., Wameipiga block dakika moja kabla goli halijaingia.Natoka hapa kwenda ku place bet nakuta goal tayari aiseee...
Hela imenipita hii...
Genoa ashasababishaBado kuna possibility yakupatikana lingine
Goli la pili limepatikana aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Wee jamaaa unaa hatarii sanaaNenda kwa Molde over 2.5
GG 90%