Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Nini kifanyike pilato?Hivi vitoto vya Italy vimeanza na moto tayari goli mbili dk ya 24
Hahaaa mwendo Wa over
Sijui ni kampuni gani wanaweka mechi nyingi,
Mimi nafahamu m cheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wanajua kuliwa njenje hahaaa.... Madogo Wa Italy wapo 2-1 huko
Si wanajua kuliwa njenje hahaaa.... Madogo Wa Italy wapo 2-1 huko
Atlanta vs Torino U19
Hahaaa washafika 14Malipo Hapahapa duniani.. hivi kuna timu zinaroho mbaya hiviView attachment 1015026
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kwani wewe ndo baba ake void nini??? Wabongo bhnaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kwa anavyokulaa vile jamaa loss za kumpaa hasara kiasi hicho zinatoka wapi.?? Kama huna kazi kalalee jombaaWakuu sina sababu yakumsingizia lolote void na wala mm siuzi tips
Void nimesikia kaachiwa mida ya saa sita mchana kituoni na kapewa onyo kali kama hamuamini sio muda nita wapatieni ushahidi
Void kaachiwa huru sio muda na sizani kama ataweza weka pesa kubwa kwani hana kwakuipata tena tayari kadhibitiwa kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh!!! Wewe endelea kubeti mjadala ufungwe bwana.Wakuu sina sababu yakumsingizia lolote void na wala mm siuzi tips