Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kapewa onyo kali na nani, kwa nini?
Pole nyingi kwake.
 
Wewe unataka nini? tuanzie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama unamsingizia hata kama ni ukweli hio haituhusu sisi, hio ni Private life yake hufai kumuexpose mtu katika umati wa watu wengi hivyo haifai. Afu hatuamini unachokisema maana void anajitolea kutupa possible humu na lengo la grup ni kubet ssa hizo habari zako baki nazo hukohuko kwenye private life..

"HIVI NYIE VOID AKIAMUA KUSEPA HUMU KWENYE JUKWAA MTAJISKIAJE?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ACHENI MASIHALA AISE"

MKuu void mie ukihama unichukue tu unapokwenda[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
FT BORNEO WIN &OV3.5 MAXB
AFC LEOPARDS OV 2.5
ZESCO WIN &OV2.5
MAXB INPLAY
 
Haooooo n mawakaaaala wa mashetani MKUU WANA rohooo za wivuu
 
INPLAY ATLANTA YOUTH OV 5.5
MAXB


RANGERS R OV 3.5 MAXB

kF LACI WIN & OV3.5/ MAXB

VIHIGA UNTD GG N OV1.5(0-1 NW)

LOCOMOTIVE SOPHOA OV 3.5 MAXB
 
Void kwa sasa hatoweza tuma mkeka wowote hana pesa na ata akituma c pesa kubwa kwa matatzo yaliyo tokea
Kikubwa tumemuombea jamaa katoka kituoni salama maisha yanasonga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Void kwa sasa hatoweza tuma mkeka wowote hana pesa na ata akituma c pesa kubwa kwa matatzo yaliyo tokea
Kikubwa tumemuombea jamaa katoka kituoni salama maisha yanasonga


Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we jamaa bana...wanaume hatuko hivyo...kwanini huna kifua..? Iwe kweli isiwe kweli kuna haja gani ya kukomalia hili suala? Au kuna inshu nyuma ya pazia? Vungaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…