SUNGUSUNGUUUU SOMAHIOOOO
NGAPIIIIII
18:30 FC Koln – St. Pauli 1 1.65
BOOOOOOOOOOOOOOOOOM
Application ya meridian ni mbovu sijapata kuona yaani ukitengeneza mkeka unafutika na hata ukifanikiwa kutengeneza kuulipia tena ni ishu maana acount ina hela unaambiwa hela haitoshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee jamaa wanakera sana cha kushangaza ukitengeneza mkeka wenye dalili za kufa yaani upiki tu odds hovyo ukisubmit unaenda sasa sijui wameiset vipiMeridianbet ni moja kati ya kampuni zangu pendwa sn, nashindwanaga nao hapo tu. Sijajua shida ni nini kwamba tatizo linashindwa kutatuliwa for ages.
UNATIAA AIBH UKIONA WANAKUONGELEA UNAJISIKIA.SIFA KAMA TOTO DOGO NENDA SHULE ACJAMA MA HAYA MAMBO UNATIA AIBUU.WATAKUVALISHA KHANGA
WAPENDWA HUYU MSILIJIBU
Nina picha ad vdeo za void alipokuwa anapelekwa central na mshua wake nazani haitakuwa busara kumuweka hadharani lkn kama ana bisha mwambieni aruhusu niachie picha Zake
Mwambieni aruhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
SHOOOOOOOOMBOOOOOOMkuu unaweza zani ishu ya jamaa ni masihara taratibu utakuja nielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchawi mbwa ww,unamfatilia mwanaume mwenzako unataka akutoboe nyuma au?,tangu juzi umbea huohuo acha ukengeeeWakuu naanza kuwapa ushahidi kuhusu void maana wengi mnazani nina tatzo nae
Iko hv void ni rafiki yangu ingawa c sana tunakuwaga geto kwa wana kibao na kuna cku nilishika cm yake nikakuta ana app ya jamii forum akiwa anacheza fifa
Ndipo nikaamua ku coment kwenye thread moja iv ghafla nakuta jina la void nikashtuka na siku mwambia na najua kila kitu kuhusu yeye ingawa hajawah nambia yuko jf
So majuz jamaa kapata msala kwao akapelekwa ad kituoni bahati nzuri alitolewa mapema na akadhibitiwa asipate pesa yoyote na ad sasa cjui ana betia pesa gan
Sent using Jamii Forums mobile app