ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
spal win
Mimi mpaka dakika ya 88 nimeshawahi kujilipua na ikatoa. Ila uwe unafanya hivyo kama una hakika hata ukiliwa hutaumia. Mara nyingi nikipataga faida huwa nabeti bila mawenge na huwa napata tofauti na ile umetoka kudeposit hela ya jasho unakuwa na woga woga.Hivi ni mdaa gani mzuri wa inplay kuweka stake yaani wale wazee wa live ikifika dakika ngapi inakuwa vizuri kutupia stake
mkuu hao volos na doxa wako league ipi maana nawatafuta hapa siwaoniNapoli (1) - odds 1.4
Bayern Leverkusen (1) - odds 1.4
Young Boys (1) - odds 1.4
Zamalek (1) - odds 1.2
Volos (1) - odds 1.6
Doxa (1) - odds 1.6
Basel (GG) - Odds 1.4
Grasshoppers (GG) - Odds 1.5
Lille (1) - Odds 1.8
Total 30 Odds
Sent using Jamii Forums mobile app
Greece - Football leaguemkuu hao volos na doxa wako league ipi maana nawatafuta hapa siwaoni
KweliBasketball ukiwa na mtaji usioumiza kichwa....utapata faida sana...lakin wengine mpaka tupige debe haswa ndy tupate