Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Nipo safarini net kimeo
Sijui ntawahi kufiki nahisi leo namdai muhindi
Aisee sijui wanabet sana hahaaa...!Tangu juz naona ni odd kubwa tu wanatembea nazo
Khaaaa!! Mechi imenipa presha hii...imetokea Free Throws ..jamaa akarusha huku mm natetemeka....karusha zikazama zotee 2...huu mchezo presha tuuView attachment 1024811
UKIKAMATA NA ZILE BONUNS MPWAAAHizi nazikomba zooooote Napiga over 0.5
Sent from my iPhone using JamiiForums
We jamaa yule Sungusungu Ndugu yako? Maana mnafanana mpaka tabia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huwa inatia sana pressure muda unapokuwa umeisha halafu ndo wanapata free throw mpumbavu mmoja anarusha mpira unagonga ringi na ulibakisha vikapu viwili ule pesa *****
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahahaaa Mkuu huyo ni I'd moja anafanya kushift tu, wanafanana mpaka muandiko Sungusunguu = soka255We jamaa yule Sungusungu Ndugu yako? Maana mnafanana mpaka tabia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi naifata ikifika na dakika 20Simba akimng'ang'ania mnyama anakomaa naye huyo huyo. Nakomaa na hii mechi nakwenda kuiachia dakika ya 85.
View attachment 1024831
Mimi mwenyewe nasubiria odds zikomae kwanza kidogoMimi naifata ikifika na dakika 20