Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Over 0.5 HT tayari MKAWITHDRAWMechi ya Real Madrid na Girona (SAA 8 mchana)
HT over 0.5 99%
HT over 1.5 80%
HT Both to score 75%
Total over 2.5 90%
Real Madrid win 75%
Both to score full time 80%
Sure Mkuu HT yenyewe yanaweza fika matatu.Game ya Madrid ina magoli mengi sana wakuunaitazama hapa live
Hata over 4.5 yatafikaView attachment 1024839
Sent using Jamii Forums mobile app
Benzema ni kama Morata na Lukaku, yeye na goli!!!!!Sure Mkuu HT yenyewe yanaweza fika matatu.
Yeah limekataliwa Ila watayaongeza mengi kipindi cha pili.Goal la pili la madrid limekataliwa nini! manake kwenye sofascore limetokea then wameliondoa tena.
Ajax nimemvizia mpaka nimemkosaAjax analeta mambo ya Barca jana, anao anao sana
Wamekataa mkuuGoal la pili la madrid limekataliwa nini! manake kwenye sofascore limetokea then wameliondoa tena.