Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
KWANI BARCELONA KAKUNYIMA TIPS
Dah! hawajui kama sisi tumeweka hela huku.
hahaaa Aisee... VP amesepa na laki tano yako??? Nishakuambia Mkuu acha kubet kauze njegere, kubet sio fani yako. Hahaaa. Pokea ushauri. Aisee...!!!
Hahaaa tumewatega kotekote hawachomoiWazee wa over naona mnamchungulia tu Madrid...Ajax naye anaweza kusepa na kijiji maana kapata kamoja kwa tabuuu
Mwache tu akomaehahaaa Aisee... VP amesepa na laki tano yako??? Nishakuambia Mkuu acha kubet kauze njegere, kubet sio fani yako. Hahaaa. Pokea ushauri. Aisee...!!!
Anafosi...Mwache tu akomae
Mwache tu akomaehahaaa Aisee... VP amesepa na laki tano yako??? Nishakuambia Mkuu acha kubet kauze njegere, kubet sio fani yako. Hahaaa. Pokea ushauri. Aisee...!!!
GG FT mkawithdrawMechi ya Real Madrid na Girona (SAA 8 mchana)
HT over 0.5 99%
HT over 1.5 80%
HT Both to score 75%
Total over 2.5 90%
Real Madrid win 75%
Both to score full time 80%