Mkuu option hii inakuaga na odd tamuSUNGUSUNGU NA CS NIMEKUPA UJUE KIZURi KULA NA NDUGUYO SIO.KUWAUZIAView attachment 1025272
KUNAJAMAA SIKU.AKIJISIKIA HUWA SIMWACHI NTAKUSHTUAA ANGALIA.LINK YAKE TELEGRAMMkuu option hii inakuaga na odd tamu
Ila mi ilisha nishinda kabisaaa
KUNAJAMAA SIKU.AKIJISIKIA HUWA SIMWACHI NTAKUSHTUAA ANGALIA.LINK YAKE TELEGRAM
YAANI ZIITESungusungu leo silali nakesha na muhindi
Stay tuned
Kama unataka tips sema nikumegee ukauze
YAANI ZIITE
SUNGUSUNGU GOLD TIPS
MAANA KILA AKIANGALIA HUU UZI AELEWI
Tupe vitu mkuu tushuke navyoSungusungu umeongea na betpawa wasi update game ilizo won nini!
Zaidi ya dakika kumi sasa hawaleti green
nikwel lakini kama auna mtaji inaitaji utengeneze odds nzuri hata kwa team 10 au 8 lakini kama una mtaji unaweza kufanya hata team 3 nivizuri tu.Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
hahaaa zipo mbona hadi watu ufahamu CS za fulltimehakuna game za uhakika
Mmh sio hisia bhana hata kipofu angebet basi.. pale anafatiria team jinsi zilivyo kutana pia na msimamo wa league pia na prediction ktk website usije danganywa heti hisia ndio wanazo tumia watu hapana bali hisia ina asilimia 15% tu ktk betMi sio kamaria, lakini nimekaa nao ndo nikapata hako kauzoefu. Na kingine ni kuwa watu wanabet kwa hisia kuliko uhalisia.