Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya kupata line ya safar com hawa 1xbet Nataka niwafanyie umafia wa kufa MTU!!ni mwendo wa single bet tu kwa odd 1.5 yaani nahitaji faida nusu ya mtaji wangu;;!!ntakuwa nacheza slips 8 -10 kwa siku kwa dau la chini elf kumi kila slip!!,,,lengo ni kupata faida ya 50000 kwa siku!!,naombeni ushauri wenu kabla sijaingia mzigoni wazee wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri.. ila sio rahisi kama unavyodhani,kuna siku upepo wa kupoteza ukikupitia unaweza kwenda kulala mchana badala ya usiku.
 
tujaribu
 

Attachments

  • Screenshot_2019-02-18-18-55-20.png
    13 KB · Views: 55
  • Screenshot_2019-02-18-18-55-04.png
    14 KB · Views: 34
Kila la kheri.. ila sio rahisi kama unavyodhani,kuna siku upepo wa kupoteza ukikupitia unaweza kwenda kulala mchana badala ya usiku.
Usemalo ni kweli nina muda kwenye hii industry kaka nlichogundua kinatufelisha kwanza ni tamaa ya kupata kwa kuweka timu nyingi kwenye mkeka mmoja,naepukana nalo hilo ,cha pili ni mitaji midogo ya kufanyia kazi na mwisho ni mazoea ya kucheza normal has a direct win!!nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mm bado sjajua kama watu wapo serious na betting au vipi.yaan kweli mtu tmu ina odd 1.2,1.3,1.4 au hata 1.9 kweli mtu anaweka buku apate 1900 mbona hayo n masihara?au kuna wengine wanabett kujifurahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ishu ya mtaji nakuunga mkono kabsa.....yan tangu ijumaaa mikeka niliyokula, ningekua na mtaji mkubwa ningekua mbali sana saiv. Sema pamoja na mitaji tuliyonayo midogo, NIDHAMU itatusaidia kufikia hiyo tunayotaka
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…