Man Utd atakubali kipigo cha pili mfululizo? ... sidhani.Chelsea 3 Man U 1.
Chelsea 3 Man U 1.
Lazima akubali tuu hamna namna... Weka pesa kwa Chelsea utaamka ukicheka kesho. Ukitaka usiamke weka kwa man u
Umenena am not Chelsea fan,ila man u kushinda darajani huwa ni mtihani mzito usiokuwa na mfanoMan kumfunga Chelsea Ni ngumu Sana... Ni rahisi Sana mourinyo kurudi Old Trafford kuliko Chelsea kufungwa darajani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man Utd atakubali kipigo cha pili mfululizo? ... sidhani.
Wambie daraja huwa ni gumu sana kwa unitedHii mechi ni ngumu aisee ni bora mtu ucheza double chance/under 3.5 kuliko direct win sema ukiangalia H2h Man hana historia nzuri darajani,shida watu wanaleta mapenz ya timu kwenye betting!