Me naona nikishinda nipewe tu hela yangu maswala ya matangazo kama haya dash sipendi sanaaa"@mbet.co.tz kwa mara ya pili mwaka huu wanamtangaza mshindi wa #Perfect12. Anaitwa Simoni Muray amejishindia Tsh 81,097,540. Huyu jamaa ni mkulima kutoka Manyara. Naendelea kusisitiza Perfect 12 ya M Bet ndio Jackpot inayoongoza kutoa washindi"- Allen Mushi , Marketing Manager wa M Bet
Mi nime-copy na ku-paste tuuView attachment 1027994
Me naona nikishinda nipewe tu hela yangu maswala ya matangazo kama haya dash sipendi sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kiongozi chelsea sio timu ya kuaminika kwa sasaLG-LIFE CAN BE GUD TODAYView attachment 1027998
Hata ukatwe ngapi lakini kwa 1xbet uhakika wa kurudisha mkubwa kuliko sehemu zingine,ukiwa makini na betting unarudishaMkuu tumia tu Biticoins ndio njia rahisi haina usumbufu wa kuanza kukimbizana na mabank
Hela yenye ya kamari halafu tunaogopa makato
Tatizo kudeposite KWA mobile paymentSure Mkuu, kwangu mimi hakuna kampuni bomba kama 1Xbet kwa sasa Asee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ana mbwembwe...ngoja itoke 0-5.NAASHAURI
KULAHELA YA UND 1.5 HT
HELA YA FT UND 2.5
HIZO SINGINE FWATA MOYOWAKOView attachment 1028037
Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?Hata ukatwe ngapi lakini kwa 1xbet uhakika wa kurudisha mkubwa kuliko sehemu zingine,ukiwa makini na betting unarudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Over 5.5 ni kunzia goli 6 na kuendeleaWakuu kwa mfano umebeti over 5.5 timu zikafungana 2 kwa 3 hlf home timu kabla ya dakika za mwisho ikapewa magoli 3 alafu away ikafutiwa magoli yote na home team ikashinda 3 kwa 0 hapo unakua umeliwa au unarudishiwa mpunga maana nimeangalia kwenye betting rule sion hii na imetokea betpawa