Atarudisha, either ashinde au watoke draw.Betis anahenyeshwa huko
Hahaaa Kwa Chelsea au?Angalau bana
Pole Mkuu...Mkuu naugulia maumivu vibayaaaaa
Genk anachezewa sharubu hahaaaGenk kafa
Hahaaa yaani leo kazi ilikua nyeupeeee kabisa Asee.... Ni unachukua tu zile timu za ugenini zilizopigwa First Round unazipa ushindi Round hii bac unakaa umekunja nne unasubiria mpunga wako hahahaaaView attachment 1028498
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyempa genk auzee huo mkeka mapema