Vp umeuuza huo mkeka au wameukataa,nilitaka kukuambia uuze maana upepo wa genk mmmh kwa leo hamna
Siku ya kufa nyani mmamae buyern kafaaaaaaa
Chelsea anatuharibia naona anaelekea magoli 4Buyern goli moja tu yaani
Inter ashafunga mahesabu hukoo[emoji24][emoji24][emoji24]Chelsea anatuharibia naona anaelekea magoli 4
Chelsea anatuharibia naona anaelekea magoli 4
Kweli siku ya kufa nyani mmamae
Yaani huu mkeka ni copy ya ule wangu,Huyo Bayer hafai kabisa,yeye nilimpa straight win
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Meridian bet...Mkeka bet.. 1xbet... Pmbet...Naombeni majina ya kampuni za kubet zenye option ya kuuza mikeka