Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Kazi kwelikweli.
Duuh ngoja nipumzike kubeti kama week mbili hivi maana kwa style hii ss muhindi atanifilisi aisee!
Mkuu ni hatari ni bora upumzike tu kuliko kupaniki utapigwa zaidiDuuh ngoja nipumzike kubeti kama week mbili hivi maana kwa style hii ss muhindi atanifilisi aisee!
Supaziiiiiiii totenamu hoti Supaziiiiiiii
Naona umepokea kipigo ch mbwa kokoKwa kweli haya makampuni ya kibongo na hizi option zao duu!!! Wacha nisubirie lain ya safari com tu sina namna... Nisubirie 1xbet
😁😁😁😁😁😁Naona umepokea kipigo ch mbwa koko
No fact!! No right to say!! Nimezungumzia hivyo kwa analyis nnavyoziona hasa upande wa option pamoja na mechi wanazoweka yaani wanachagua wanavyotaka wwNaona umepokea kipigo ch mbwa koko
Pole mkuu jipange upya!!sema hizi kampuni za kibongo zinabana sana optionDuuh ngoja nipumzike kubeti kama week mbili hivi maana kwa style hii ss muhindi atanifilisi aisee!
betting is not shoppingDuuh ngoja nipumzike kubeti kama week mbili hivi maana kwa style hii ss muhindi atanifilisi aisee!