Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hizo line za safaricom zinapatikana? Nishaagiza raia kibao kenya ila wameshindwa register as wanazinguliwa wakala na hawatoi line kirahisi. Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman wanakamaria wenzangu naomben mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kujiunga na meridia betting Kuna mchezo unaitwa keno naupenda Sana lak Sasa kujiunga na meridian ndo inanishinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…