Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee mm kuna kitu ningependa kushea humu!!baada ya kua napoteza sana kwa mikeka ya combo nkaamua kucheza slip za singo toka nimeanza huu mkakat sijaona hasara zaidi ya faida nlichofanya nlitafuta mtaji kiasi afu nkaanxa kutafuta odd 1.5 kwa singo bet yaani kwa option nayochagua ikiwa na odd kuanzia 1.5 na kuendelea naicheza singo bila kuchanganya na timu nyingine!!target yng ni kupata faida ya elf tano kwa kila mtaji wa elf kumi nayotumia!!!kwa siku sikosi hela ya kujikimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursa ... wako Half Time sasa. Wazee wa kujilipua wanaweza kuwapa Over 2.5

 
Pamoja Sana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…