Skybet
Dah ningecheza single ningekuwa naongea kihindi Sasa hvi.Yeyote anayesema hyo haiwezi kuwa green ebu ajifanye anajikuna TU. View attachment 1030191
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiungaje mzee baba??? Neielewa, sanaSkybet
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Messi no Habari nyingine, endeleeni kumfananisha tuCR7 umefanya nimchukie Lionel Messi ila bado moyo wangu unanisuta na ninaamini ni mchezaji bora zaidi ya CR7.
Imeahirishwa mpaka keshoJamani hii game ya waturuki vp maana siion na bet imebaki hiyo nivute mpungaView attachment 1030529View attachment 1030530
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ushakula mpunga..Jamani hii game ya waturuki vp maana siion na bet imebaki hiyo nivute mpungaView attachment 1030529View attachment 1030530
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasubiri waturukiHiyo ushakula mpunga.. View attachment 1030536