Ahaha!! Mkuu tugange yajayoNilipumzika tangu game ya Juve vs Parma mpaka leo hata hamu ya kujilipua sina mtu alichomolewa Goli 3 kama uchawi vile
Every little helps Brothers..Every little helps Brothers..
Business nimefunga rasmi kwa weekend hii. [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1030399
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
mechi ya man city saa ngp mzee
Dah mkuu kungekua na cashout betpawa ungetoa tu...nakuombea ule mana hali ni ngumuJamani hii game ya waturuki vp maana siion na bet imebaki hiyo nivute mpungaView attachment 1030529View attachment 1030530
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli manaake unaweza shangaa timu unayosubiria ikawa wakala Wa kanji.Dah mkuu kungekua na cashout betpawa ungetoa tu...nakuombea ule mana hali ni ngumu
thanks brother
Kweli yan...sema hiz kampuni za bongo ni vinganganizi sanaKwakweli manaake unaweza shangaa timu unayosubiria ikawa wakala Wa kanji.
Ingekuwa kule urusi faster tu.Kweli yan...sema hiz kampuni za bongo ni vinganganizi sana
yan hawatak kuweka hiyo system ya cashout
Mkuu usisahau EFD ...tehtehtehJamani hii game ya waturuki vp maana siion na bet imebaki hiyo nivute mpungaView attachment 1030529View attachment 1030530
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli siku Barcelona wanacheza nikimuona Messi amani tele.
Mechi za kusubiri sio ila acha nivumilieMkuu usisahau EFD ...tehtehteh
kolomeo wayaaaaa.....ila kokolo langu ni lefu sana ...itabidi nifuate tips zako nachagua mbili natandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli manaake unaweza shangaa timu unayosubiria ikawa wakala Wa kanji.