Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Wewe jamaa nimekuuliza palipo line za safaricom umetulia aisee. Nipe ushirikiano tupige mhindi.Naomba kujuzwa ligi ngumu, ambayo magoli huanzia 20min na kuendelea
Greece.Naomba kujuzwa ligi ngumu, ambayo magoli huanzia 20min na kuendelea
Over 1.5 za Israeli na Italy hasa Seria B huwa ni Odds mlima kweli.Israel, France, Argentina, Italy pamoja na hizi za Afrika hizo ni baadhi nizijuazo mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Algeria lig1Greece.
Israel.
Morocco.
Ligi B ya Italy (Seria B).
Azerbaijan.
Brazil.
Cyprus.
Bundesliga 2 na Bundesliga 3.
India.
Hizo nchi ligi zake huwa zina mabao ya kutafuta na tochi.
Shukrani mkuuNi sawa na kuchagua Simba ashinde na isiwepo draw
Simba akishinda ume win
Ikitoka draw unarudishiwa stake yako
Simba akifungwa ume lose
Zipo zinasajiliwa tu kama maua.Mkuu umezipata wapi?
Hizi hapa Ligi Zenye Magori Machache, Chagua hapoNaomba kujuzwa ligi ngumu, ambayo magoli huanzia 20min na kuendelea
Nafikiria kuchoma benki kwenye huu mkeka.Wazee Wa odd mbili nyingine hiyo.View attachment 1031943
Mkuu naomba maelezo namna ulivyopata lain ya safaricom.!!Lain ya Safarcom, mkonon, 1×bet & betin zibisha hodi.
Choma Mkuu bila kuwa risktaker utapishana Na gari la mshahara daily.Nafikiria kuchoma benki kwenye huu mkeka.
Kama una elf nane, na unajua namna laini itakavyokufikia mimi nipo boda namanga na unaniamini kabsa nakusajilia uku then nakutumia kwa njia unayotaka wewe. Asante