Ha ha haa, uko makini! Siku ya leo iko poa kabisa!Nlikufata pole pole naona tumekula mzigo
Je ni kulipia au? Yasije kuwa kama akina Chichimizi
nazima simu jamani ila nawaonya
AMELALA SALAMAAA KAKA MKUBWA TUZIDI KUMWOMBEEA
Asante mkuu sasa huyu mbuzi aliyeshindwa kupata watu wa kuuzia tips inbox tuone atamsumbua naniUkiona Kuna mjinga anazingua na hupendi kuona upuuzi wake click kwenye jina lake then utaona sehemu imeandikwa ignore.. click hapo..umemaliza! Tuko pamoja wapambanaji.
Ahaha gud IdeaUkiona Kuna mjinga anazingua na hupendi kuona upuuzi wake click kwenye jina lake then utaona sehemu imeandikwa ignore.. click hapo..umemaliza! Tuko pamoja wapambanaji.
Safii saanaa!!Ukiona Kuna mjinga anazingua na hupendi kuona upuuzi wake click kwenye jina lake then utaona sehemu imeandikwa ignore.. click hapo..umemaliza! Tuko pamoja wapambanaji.