Asee mbona kwangu inasumbua toka jana na net ipo vizuri. Shida n nn?prediction zipo nyingi sana kule. Kama unayo nenda sehemu imeandikwa Hot coupons
inasumbuaje mkuuAsee mbona kwangu inasumbua toka jana na net ipo vizuri. Shida n nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
inasumnuaje mkuu
Ebu anza kujiamini aisee, sasa kama hakuna mkeka uliowahi kushare ukashinda kwanini unanyemelea odds humu katika mikeka wanayoshare wenzio?Acha uoga ondoa iyo imaniHakuna mkeka ambao nimewahi kushare nikashinda
Mr Wise tupe bas hela ya supuEbu anza kujiamini aisee, sasa kama hakuna mkeka uliowahi kushare ukashinda kwanini unanyemelea odds humu katika mikeka wanayoshare wenzio?Acha uoga ondoa iyo imani
2+ oddsPortugal
SL Benfica vs Belenenses
Tip 1@1.22
Turkey
Galatasaray vs Antalyaspor
Tip 1@1.35
Romania
Botosani vs Concordia Chiajna
Tip 1X@1.20
Romania
Steaua Bucuresti vs Viitorul Constanta
Tip 1X@1.22
Nisikudanganye kiongozi niko ofsini time hii hata kuchambua siwezi muda huu
Hata mimi cheki PMM-bet bado hamjajirekebisha tu
Nilihamia sportpesa kutokana na tabia yenu ya kuchelewesha hela zetu za chai asubuhi ila naona tabia ni ile ile
Match za jana MTU analipwa SAA tano kesho yake
Sio sawa hii View attachment 1042956
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Mkuu, huwa Luna wakati zinatema, kuna siku nimeona odd 2000+ nikazipata kilichofuata Jioni sikuamini.Sio mbaya tukitupia walau ticket hata 5-8 hata mia 500 tu Mkuu hasa kwa hotcoupons odds 2000+
IPO siku
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sure Mkuu, huwa Luna wakati zinatema, kuna siku nimeona odd 2000+ nikazipata kilichofuata Jioni sikuamini.