Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnakwama wapi wazee Wa kubeti?

Ukiwa na M-pesa Master card, unaweza kufanya malipo yako kwenda 1xbet simpo tu.


Mahitaji
1-laini ya Voda (Activate M-pesa MasterCard)
2- PayPal application (IPO play store)


Fanya kuunda Account huko PayPal kwa makini.

Note; Makato yako pande 2 1xbet na paypal wakati Wa kuweka na kutoa pesa na ni makato mazuri tu ambayo mapigo ya moyo lazima yaende mbio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo Ulimuweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hivi Mpesa Master card wanaruhusu kupokea mkwanja kutoka paypal? Maana mimeona watu wengi wakitafuta njia mbadala wanasema hai accept mkwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…