Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtaalamu nyegere86 ile mil15 ikapeperushwa na wale wa puuzi pamoja na wadau wote humu kuomba dua....Hii game bhana dah
 
Kwa hisani ha Hamburger SV ... toka kuongoka 2-0 half time, mpka kupigwa 2-3. Amejua kutuchania mikeka mapema huyu mpuuzi. Yani hadi Double Change holaaaa.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…