Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Natamani kuzijaribu hizi Odds 17 hata kwa buku 5.....maana dah nahisi Rondon ataletewa sana mipira ya juu ya kusababisha kona na Bourn watashambulia kupata kona
 
Hii game ya Simba bora niachane nayo maana kila napotaka kumuua simba kuna kitu kinaniambia ngoma draw.....yani mpaka nimeweka Draw No bet kwa VITA.....................Simba anaweza chana mikeka ya watu kwa kushinda aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…