Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani nitoeni tongo tongo
Hizi odds za Man U vp?

Mi nataka kustake nyumba kwa spirit hii walio nayo Man U
 
Ila hawa BetPawa waoga sana wa kuliwa. Kuna game zaidi ya 200 ziko live wao wanaweka game hazizidi 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…