Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

Batch iliopita nilipigwa MILIONI kwa ahadi ya kupata nafasi TRA na sikuwahi hata kuomba so jamaa walisema nitoe M nipate kazi ila kila nikiwacheki sikuwapata maana jina langu halikuwepo
 
Hongera sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] connection Kama izo Ni utaperi mtupu, walikuwa wafanyakazi wa TRA
 
Hapo Hamna hizo ajira serikali inabana matumizi sasa
 
Back
Top Bottom