Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mimi wameniandikia Sija attach cheti Cha form six (niliattach) ikabidi nirudi kuhakiki Tena nikakuta niliweka vyeti vyote na nikaki Download ni chenyeweTPA wameshatoa mpaka hivi sasa angalia ajira portal mkuu.
Nimeamua kuomba kufanya kazi za NGO's sitoomba kamwe kazi serikalini,Wana uhuni sana