Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mimi wameniandikia Sija attach cheti Cha form six (niliattach) ikabidi nirudi kuhakiki Tena nikakuta niliweka vyeti vyote na nikaki Download ni chenyeweTPA wameshatoa mpaka hivi sasa angalia ajira portal mkuu.
Mkuu hapa notes sina ila sehemu za kupitia ambazo muhim ni kuzingatia maswala ya 'logistics' sana maana hawapo tofauti sana na TASAC shuhuli zao.Mkuu una notes unisaidie
Daaah..! Ina huzunisha sana mkuu hali kama hii kutokea.Mimi wameniandikia Sija attach cheti Cha form six (niliattach) ikabidi nirudi kuhakiki Tena nikakuta niliweka vyeti vyote na nikaki Download ni chenyewe
Nimeamua kuomba kufanya kazi za NGO's sitoomba kamwe kazi serikalini,Wana uhuni sana
Interview ya tasac unakumbuka maswali yao yalikuaje mkuu?Mkuu hapa notes sina ila sehemu za kupitia ambazo muhim ni kuzingatia maswala ya 'logistics' sana maana hawapo tofauti sana na TASAC shuhuli zao.
Interview ya tasac unakumbuka maswali yao yalikuaje mkuu?
Ukicomplain watakuweka katika majina ya nyongeza wala usikate tamaa, wasiliana kwenye namba au email yaoMimi wameniandikia Sija attach cheti Cha form six (niliattach) ikabidi nirudi kuhakiki Tena nikakuta niliweka vyeti vyote na nikaki Download ni chenyewe
Nimeamua kuomba kufanya kazi za NGO's sitoomba kamwe kazi serikalini,Wana uhuni sana
Kweli watupe hints aisehMtupe hints kuhusu TPA...notes za Ku cover ni wapi ??
.it handles large vessels due to large area( unaweza danganya over 2500 acres )Explain why there's huge cargo in Bangkok ports over Dar es Salaam ports
Una degree level au Certificate level??.it handles large vessels due to large area( unaweza danganya over 2500 acres )
. Availability of good infrastructure. e.g railway network across the cities and towns .( Bangkok na majiji mengine kama Kuala Lumpur na Vietnam..
Hizo vipi nimepata ???
Usisahau pia na forced labour na land alienation mkuu..it handles large vessels due to large area( unaweza danganya over 2500 acres )
. Availability of good infrastructure. e.g railway network across the cities and towns .( Bangkok na majiji mengine kama Kuala Lumpur na Vietnam..
Hizo vipi nimepata ???
Utapigwaje kiboyahivyo.Batch iliopita nilipigwa MILIONI kwa ahadi ya kupata nafasi TRA na sikuwahi hata kuomba so jamaa walisema nitoe M nipate kazi ila kila nikiwacheki sikuwapata maana jina langu halikuwepo
Sina taaluma ya shipping Wala marine ndio maana nimeandika in general, sijatumia terminologies za taaluma husika..Una degree level au Certificate level??
Mimi wameniandikia Sija attach cheti Cha form six (niliattach) ikabidi nirudi kuhakiki Tena nikakuta niliweka vyeti vyote na nikaki Download ni chenyewe
Nimeamua kuomba kufanya kazi za NGO's sitoomba kamwe kazi serikalini,Wana uhuni sana
Explain why there's huge cargo in Bangkok ports over Dar es Salaam ports
Sana sana.it handles large vessels due to large area( unaweza danganya over 2500 acres )
. Availability of good infrastructure. e.g railway network across the cities and towns .( Bangkok na majiji mengine kama Kuala Lumpur na Vietnam..
Hizo vipi nimepata ???
Ulitaka uitwe peke yako siku hizi ni survival for the fittest6000+ kwa nafasi 10
This is too much