Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

Ni jambo lisilifichika.

Arsenal wame improve sana with and without the ball hili limewasaidia kupata 12 points wakiwa na 100% win.

Jambo moja naliona kwa Arsenal watatumia energy kubwa na ari kubwa kama ya kumalizia ligi wakati ndio kwanza mechi nne.
Epl is a long race vs 4-6 giants.

Arsenal haina seniority and maturity. Ninaweza kuamini, Arsenal awe hivi hivi kisha city na liverpool wawe na full squad ndipo lack ya seniorty and maturity itaonekana.

Cudos kwa Arteta amejitahidi mpaka hapa kutengeneza timu nzuri ya vijana wenye ari.
 
Kwa heshima niliyo nayo kwako naomba nirudi kucomment hapa kabla ya likizo ya world cup
 
Kwa heshima niliyo nayo kwako naomba nirudi kucomment hapa kabla ya likizo ya world cup
Timu imeanza kuwa na majeruhi, huu utabiri unaweza kwenda kinyume kabisa.

Anyway ngoja tuendelee kuona mechi zinavyozidi kuchezwa.
 
Ulipuyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…