Machoko yanakera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machoko yanakera sana
1993/1994Ilichukua mwaka gani hilo la Uefa?
Kombe la mbuzi hilo ndiomana wali sitisha.View attachment 2337653Arsenal alimfunga Parma 1 - 0
Wakati arsenal analibeba lilikuwa kombe kubwa.Kombe la mbuzi hilo ndiomana wali sitisha.
Acha tutambe nazo aisee!!! Mtuache tuserebuke ha ha haaaa!Mechi 4?
Sawasawa, ngojea tusubirie.Bado mapema mno....
Kwa heshima niliyo nayo kwako naomba nirudi kucomment hapa kabla ya likizo ya world cupNdivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana.
Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (epl) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki.
Timu mbalimbali zimeshakuwa na wasiwasi mkubwa na kuingiwa na kiwewe pale ratiba inapoonesha wanakaribia kucheza na kikosi hiki kinachoongozwa na mwalimu huyu machachari.
Timu imeanza kuwa na majeruhi, huu utabiri unaweza kwenda kinyume kabisa.Kwa heshima niliyo nayo kwako naomba nirudi kucomment hapa kabla ya likizo ya world cup
UlipuyangaNdivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana.
Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (epl) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki.
Timu mbalimbali zimeshakuwa na wasiwasi mkubwa na kuingiwa na kiwewe pale ratiba inapoonesha wanakaribia kucheza na kikosi hiki kinachoongozwa na mwalimu huyu machachari.
Nani anaongoza ligi?Ulipuyanga