Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

Genius Arteta..🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kwani hao big six wamebaki wangapi, na ni nani na nani, supu ya jogoo Kumbe tamu hivi, nimeshaelewa kwani Mani yuu alitufunga Kumbe ni supu
 
Nikwambie tu liverpool ipo nafasi ya 8 arsenal nafasi ya kwanza lakini Guardiola anaiwazia liverpool kuliko arsenal wazungu wanasema
Class is permanent and form is temporary arsenal labda ukinambia kuwania UEFA champions position sawa ila kwenye kuchukua league bado sana wanahitaji muda hata sosha alianzaga hivi hivi mwisho wa siku hakuna alichoambulia.
Sasa Arsenal na Mani City ipi ina CLASS kwa akili yako fupi??
Anayofanya kipara ni marudio tuu mzeee!!!
 
Haaland is expecting to score hat trick or brace in the first premier league round against Arsenal. Therefore Arteta and his squad need to watch out because the kid is unstoppable.
The boy is good and challenging. I bet arteta will come with a solution for him.
 
Ni suala la muda tu, Mtaanza kumkataa wenyewe.
Labda hujaiangalia Arsenal siku za karibuni. Timu imeshapata momentum hivyo sioni kwanini wasiendelee kufanya vizuri labda yatokee majeruhi kwenye nafasi nyingi kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom